
Started by marto in Love. Last reply by tiptop ton yesterday. 2 Replies 0 Likes
Started by G5 NEWS in Love. Last reply by Uybtyut Y byu May 25. 6 Replies 2 Likes
Started by lipcandy in Love. Last reply by Uybtyut Y byu May 25. 17 Replies 0 Likes
Started by gilbart in Events, Concerts, Parties. Last reply by tiptop ton Jun 4. 6 Replies 4 Likes
Started by G5 NEWS in Love. Last reply by Uybtyut Y byu May 25. 5 Replies 0 Likes
Posted by G5 NEWS on June 18, 2013 at 1:00pm 0 Comments 0 Likes
Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku kadhaa kabla ya kifo, Ngwea alifanya video ya wimbo alioshirikishwa na msanii Mtanzania anaeishi Afrika Kusini aitwae Mossred.
Hizi video hapa chini ni sehemu ya utengenezwaji wa hiyo video ambayo bado haijatoka….. ilifanyika Kimberley
Posted by G5 NEWS on June 18, 2013 at 12:52pm 0 Comments 0 Likes
Na Mwandishi Wetu
MWILI wa mwanamuziki Langa Kileo jana (Jumatatu) ulipumzishwa kwenye nyumba ya milele katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar lakini nyuma ya kifo chake kuna siri ambayo rafiki yake wa karibu (jina linahifadhiwa) mkazi wa Mikocheni A jijini Dar ameamua kuiweka hadharani.
Akizungumza na Uwazi juzi, rafiki huyo wa marehemu alisema, siku chache kabla ya kifo chake alimfuata na kumwambia kuwa Israel mtoa roho anamtembelea usiku na anahisi siku si nyingi atamfuata mshikaji wake aliyetangulia mbele ya haki, Albert Mangweha ‘Ngwea’.
“Hii ni siri ambayo hata ndugu zake hawaijui lakini mshikaji alijua anakufa. Alijitahidi kukikwepa kifo lakini alishindwa. Siku chache kabla hajafa, usiku alikuja kwangu na kuniambia kule kwao kwenye geto lake…

Posted by G5 NEWS on June 18, 2013 at 12:50pm 0 Comments 0 Likes
Posted by G5 NEWS on June 18, 2013 at 12:44pm 0 Comments 0 Likes
Na Joseph Ngilisho, Arusha
NYUMA ya matukio ya kigaidi ambayo yamefululiza kutokea jijini Arusha kuna njama nzito baada ya kuibuka maswali mengi yanayosababisha mahali hapa kutokuwa shwari na salama kufuatia bomu lililolipuliwa Jumamosi iliyopita, Uwazi lina uchambuzi.
Baadhi ya majeruhi katika mlipuko huo wa bomu.
Bomu hilo lililipuliwa katika mkutano wa Chadema wa kumaliza kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Kaloleni jijini hapa na…

Posted by G5 NEWS on June 18, 2013 at 12:02pm 0 Comments 0 Likes
Posted by G5 NEWS on June 18, 2013 at 11:55am 0 Comments 0 Likes
Posted by G5 NEWS on June 17, 2013 at 4:35pm 1 Comment 0 Likes
Na Imelda Mtema
NI sahihi kabisa nikisema kuwa Klabu ya Bongo Movie Unity ndiyo jicho la mashabiki wengi wa filamu za nyumbani. Wasanii waliopo ndani ya umoja huo, wengi wao ndiyo mastaa wakubwa ambao mashabiki hupenda kuwafuatilia ili kujua maisha yao.
Umoja huo unaundwa na mastaa wa k*** na wa kiume. Lengo la kufanya hivyo ni kuweka mambo yao katika misingi ya umoja, usawa na katika shughuli zao za kila siku. Pamoja…

Posted by G5 NEWS on June 17, 2013 at 3:59pm 0 Comments 0 Likes
Yes jamaa anajua kutumia Instargram yake vizuri, Ludacris ameingia kwenye Instargram kukanusha kuwa ameumizwa na chupa iliyo rushwa wakati anapiga mzigo kwenye club flani huko Atlanta. Ndio kuna chupa ilirushwa kuelekea kwangu ila haijanigusa and i m okey alisema Ludacris kupitia hii picha aliyo weka kwenye twitter pia
Posted by G5 NEWS on June 17, 2013 at 3:51pm 0 Comments 0 Likes
Rapper anaye set standard za Hiphop duniani Jay Z ametangaza ujio wa cd yake mpya Itakayoitwa Magna Carta Holy Grail, Itakuwa mtaani July 4 na kupitia Simu za Sumsung utaipata kirahisi zaidi. Watumiaji Milioni moja wa kwanza wa Samsung Galaxy III, Galaxy S 4, na Galaxy Note II watapata nafasi ya kuwa na application itakayo ruhusu kudownload cd hio. Application hii itakuwa tayari June 24 kupitia magnacartaholygrail.com .Wakati wa game 5 ya NBA Finals walirusha clip inayo muonyesha Jay z akiwa na Rick Rubin, Pharrel Williams,Swizz Beats Na Timbaland wakitengeneza mzigo mwingine. Album ya Mwisho wa Jigga Ilikuwa The BluePrint 3 ya 2009
Posted by G5 NEWS on June 17, 2013 at 3:47pm 0 Comments 0 Likes
Mariam Mahamudu Afisa Afya, Mazingira Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii akizungumza katika mkutano huo kuzungumzia kuhusu kampeni hiyo, kulia ni Mrisho Mpoto Mkurugenzi wa Mjomba Band.
Kundi zima la Mjomba Band likiwa katika mazoezi makali katika makao makuu ya kundi hilo Kinondoni Mkwajuni.
Msanii wa ngoma za asili na Mkurugenzi wa bendi ya Mjomba Band Mrisho Mpoto akizungumza na waandishi wa habari…

© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
