nbhgfshuyw posted a status
nbhgfshuyw posted a statusAdded by kanamasi on March 29, 2013
Added by kanamasi on March 29, 2013
Added by deejay dullah on November 16, 2011

Started by Mustapha Selemani in Friendship. Last reply by Ailer May 9. 80 Replies 0 Likes
Started by meggy in Love. Last reply by eazywilly Jun 8, 2010. 140 Replies 0 Likes
Started by jewel in Love. Last reply by Jeremiy Siror Teki Jul 12, 2011. 68 Replies 0 Likes
Started by caroline in Uncategorized. Last reply by innocent Jb sway May 12, 2012. 56 Replies 1 Like
Started by Mash in Uncategorized. Last reply by mahagi Apr 22, 2010. 37 Replies 0 Likes
Added by G5 NEWS on April 24, 2013
Added by G5 NEWS on April 25, 2013
Added by G5 NEWS on April 26, 2013
Posted by G5 NEWS on May 15, 2013 at 11:27am 1 Comment 0 Likes
Posted by G5 NEWS on May 15, 2013 at 7:08am 2 Comments 0 Likes
Posted by G5 NEWS on May 14, 2013 at 9:58am 2 Comments 0 Likes
Kipindi cha wiki iliyopita cha Take One kwenye segment ya JICHO LA TATU, ilikuwa na msanii wa comedy KITALE alikuwa anaelezea movie ya mwisho aliyoigiza na marehemu Sharomillionaire ambayo ilikuwa inaenda kwa jina la THE IMPOSSIBLE
KWENYE SEGMENT YA MTU KATI KULIKUWA NA MSANII SLIM
Usikose leo TAKE ONE na ZAMARADI MKETEMA ndani ya Clouds TV saa Tatu usiku
Follow Us on Twitter @clouds_tv
Like Us on Facebook CLOUDS TV
Subscribe on Clouds tv youtube channel www.youtube.com/cloudstvtz
Posted by G5 NEWS on May 13, 2013 at 2:00am 2 Comments 0 Likes
Taarifa zilizotufikia ambazo bado zipo chini ya kapeti ni kwamba Kampuni ya Clouds Media Group, imeamua kumfungilia mashitaka msanii nguli wa Bongo Fleva na kiongozi wa bendi ya Machozi, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’. Clouds imeamua kufungua mashitaka hayo baada ya Lady Jaydee kuchafua jina la kampuni hiyo na viongozi wake wawili wa juu ambao ni Mkurugenzi Mtendaji, Joseph Kusaga na Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo, Ruge Mutahaba katika mitandao ya kijamii hivi karibuni. Lady Jaydee anatakiwa kuripoti katika Mahakama ya Kinondoni kukabiliana na tuhuma hizo hapo…
Posted by G5 NEWS on May 12, 2013 at 8:32am 1 Comment 1 Like
Posted by G5 NEWS on May 12, 2013 at 8:27am 0 Comments 0 Likes

Posted by G5 NEWS on May 10, 2013 at 5:47am 0 Comments 0 Likes
Posted by G5 NEWS on May 9, 2013 at 5:18pm 1 Comment 0 Likes

Anaweza kuwa ndiye video queen hot&sexy zaidi Bongo na ingawa ameshiriki on two videos pekee anabaki kuwa V,queen mwenye jina kubwa zaidi. Siku za karibuni amekuwa akimake headlines on social networks pia magazeti baada ya video na picha zake chafu kusambaa on social networks,TEENTZ imefanya nae Exclusive interview na kuongea ya moyoni kuhusu yote yanayozungumzwa kumhusu.
''Me cjui hizo picha zilisambaa vipi sababu izo picha zilikuwepo kwenye camera yangu na mimi cku hiyo nilikuwa nimelewa, i was drunk sikuwa naelewa chochote na nilikuwa south Africa kwa hiyo maswala ya kuandika habari za uongo eti nimeenda south kuuza ,me sina dhiki ya kufikia kuuza mwili wangu eti nipate pesa"na ,picha niliyopiga siyo ya uchi ile hata nikikuonesha,nilikuwa nimevaa nguo kabisa ,kuna uchi nimeonesha pale?…

Posted by G5 NEWS on May 9, 2013 at 5:30pm 0 Comments 0 Likes
Mashabiki na wadau wengi hivi sasa wameelekeza macho kwa msanii ambaye amekuwa gumzo nchini Kenya, Jaguar kutokana na kumiliki ndege binafsi, magari ya kifahari na utajiri kiasi cha kuwa mmoja wa wasanii wanaofuatiliwa kwa karibu sana kutokana na mapato yake.
Ukiachana na hayo yote mkaree huyo hivi sasa ameamua kuonyesha kuwa yupo fiti baada ya kutoa kichupa chake kipya ‘Kipepeo’ ambacho kimewateka mashabiki mbalimbali kupitia mitandao kikionyesha msanii huyo akimiliki gari aina la Bentley pamoja na ndege yake binafsi aliyoipa jina ‘Air…

© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
