FREE FLAVA

Like us on Facebook..!

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. IMG_3112

Added by best werema on May 26, 2015

2. IMG_3022

Added by best werema on May 25, 2015

3. IMG_3041

Added by best werema on May 25, 2015

jamani haya ni mapenzi.ww na mpenzi wako unampenda tena sana lakini anakaa kimya hapigi simu wala sms mpaka asikie hamu ya kufanya mapenzi na wewe.ukimuuliza ana la kusema je huyu ana mapenzi ya kweli?

Tags: mustapha, selemani

Views: 105

Reply to This

Replies to This Discussion

  • Huyo anakuchuliwa kama chombeza time just 4 da moment tu kama vp mkalishe jini akikosa reason zakueleweka m`buruzee aiseeee.
Always Fire comes from a Source....Umemfanya asiwe anakuweka akilini kitaalam tunasema you didnt activate yourself for Him or her...make yourself available katika mind yake and you will conque her mind
Kwasasa anangalia prio List mpaka ikifika kwako wajuu wapo unavailable for that time

WAKE UPPPPPPPPPPPPP!!!!!!

RSS

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

#ContentAdverts{ width:488px; float:center; margin-right:15px; }