Added by deejay dullah on November 16, 2011
Kwa wakazi wa jiji la Dar wanafahamu kuwa foleni zinachosha sana wakati wanapokuwa wanarejea makwao kutoka mihangaiko ya kila siku, siyo mbaya pia wabongo tukaungana pamoja wakati tukiwa kwenye foleni hizi kwa kuchemsha ubongo kupitia G5click.com kwa kujibu swali hilo la kizushi
KAMA KUENDESHA GARI UKIWA UMELEWA NI KOSA KISHERIA KWANINI BAR KUNA PARKING?
Kwasababu wengi wanao kwenda bar wakuwa na madereva wao!!!!!!!! how abt that????
Permalink Reply by Abel on January 6, 2012 at 11:52am jombiii bar kuna parking kwakuwa c kila anayekunywa analewa na hawajathema uthiendeshe ukiwa umekunywa bali uthiendeshe ukiwa umelewa
ni parking kwa ajili ya wagen wanaokuja kunywa na sio wote wanakunywa na kulewa
Permalink Reply by innocent Jb sway on May 11, 2012 at 9:29am © 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
