Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imemfikisha Spika wa Bunge, Anne Makinda mbele ya Kamati ya Kudumu ya Kanuni za Bunge kutokana na kutoa uamuzi wa maswali ya wabunge, Tundu Lissu na Esther Matiko (Chadema), yasijibiwe na Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika kipindi cha maswali kwa Waziri…






















Mbunge Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe (CHADEMA) ambaye leo amesoma bajeti mbadala ya upinzani Bungeni, amekuwa Mbunge wa kwanza wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia teknolojia ya kisasa kufanya presentation kwenye Bunge kwa kutumia kifaa cha iPad kusoma hotuba yake.
















