Latest Activity

Like us on Facebook..!

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

All Blog Posts (4,212)

COMEDY : WIKI HII KWENYE VUVUZELA

Added by G5 NEWS on May 15, 2013 at 11:30am — 2 Comments

Patrick Ngowi LIVE on CHOICE FM - Send your Questions to morning@choicefm.co

A TANZANIAN, THE FOUNDER AND CEO OF HELVETIC GROUP EAST AFRICA AND ONE OF FORBES 30 UNDER 30 BEST AFRICAN ENTREPRENUERS 2013 WILL BE LIVE TODAY ON CHOICE IN THE MORNING WITH BABBIE KABAE AND EVANS BUKUKU FROM 7AM ON 102.5 CHOICE…

Added by G5 NEWS on May 15, 2013 at 7:08am — 2 Comments

KITALE AKIWA KWENYE SEGMENT YA JICHO LA TATU KWENYE KIPINDI CHA TAKE ONE CHA CLOUDS TV AKIIELEZEA MOVIE YAKE YA MWISHO ALIYOIGIZA NA MAREHEMU

Kipindi cha wiki iliyopita cha Take One kwenye segment ya JICHO LA TATU, ilikuwa na msanii wa comedy KITALE alikuwa anaelezea movie ya mwisho aliyoigiza na marehemu Sharomillionaire ambayo ilikuwa inaenda kwa jina la THE IMPOSSIBLE

KWENYE SEGMENT YA MTU KATI KULIKUWA NA MSANII SLIM…

Added by G5 NEWS on May 14, 2013 at 9:58am — 2 Comments

CLOUDS WAMPELEKA LADY JAYDEE MAHAKAMANI

Taarifa zilizotufikia ambazo bado zipo chini ya kapeti ni kwamba Kampuni ya Clouds Media Group, imeamua kumfungilia mashitaka msanii nguli wa Bongo Fleva na kiongozi wa bendi ya…

Added by G5 NEWS on May 13, 2013 at 2:00am — 2 Comments

Clouds Media Group yazindua msimu wake mpya kwa kishindo



Added by G5 NEWS on May 12, 2013 at 8:27am — No Comments

Limited Seats Only....... Kaa Tayari

Limited Seats Only....... Kaa Tayari

Added by G5 NEWS on May 10, 2013 at 5:47am — No Comments

BAADA YA GERGUSON KUSTAAFU SOKO LA HISA ZA MAN U ZASHUKA

Taarifa za kustaafu kwa kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson zimeifanya klabu hiyo kupoteza mapato yake.

Huku maelfu wa mashabiki wakionekana kushtushwa na habari za kustaafu kwa Fergie maarufu kama babu, lakini pia upande wa masoko kwa klabu ya Manchester United kumekuwa na pigo…

Added by G5 NEWS on May 9, 2013 at 5:36pm — No Comments

VIDEO MPYA YA JAGUR YAACHA GUMZO

Mashabiki na wadau wengi hivi sasa wameelekeza macho kwa msanii ambaye amekuwa gumzo nchini Kenya, Jaguar kutokana na kumiliki ndege binafsi, magari ya kifahari na utajiri kiasi cha kuwa mmoja wa wasanii wanaofuatiliwa kwa karibu sana kutokana na mapato yake.

Ukiachana na hayo yote mkaree huyo hivi sasa…

Added by G5 NEWS on May 9, 2013 at 5:30pm — No Comments

JA RULE AREJEA URAIANI

Hatimae Ja Rule ametoka gerezani baada ya kumaliza kifungo chake cha takriban miaka minne, kwa makosa ya kupatikana hakimiliki silaha kinyume cha sheria pamoja na kukwepa kodi.

Mke wa msanii huyu ndiye aliyemchukua mara tu baada ya kuachiwa na sasa atalazimika kumalizia adhabu yake kwa kifungo cha…

Added by G5 NEWS on May 9, 2013 at 5:29pm — No Comments

CHRIS BROWN AKERA MAJIRANI

Chris Brown ambaye kila kukicha amekuwa mtu wa matukio mapya, ametokelezea na mpya nyingine tena hasa baada ya majirani zake huko Hollywood Hills kuendelea kuwa ni changamoto kwake, na safari hii wakiwa na malalamiko makubwa juu ya graffitti ambazo msanii huyu amezichora katika eneo hilo.

Hii imekuwa…

Added by G5 NEWS on May 9, 2013 at 5:28pm — No Comments

2FACE AUZA NGUO ZAKE KUSAIDIA YATIMA

Mwanamuziki 2face Idibia ameamua kutoa pea ya viatu pamoja na kofia ambayo alivaa katika harusi yake ya kiasili kwa ajili ya kuuzwa ili kupatikana kwa fedha za kusaidia kituo cha watoto ambao wamepoteza mama zao huko Lagos.

Viatu hivi pamoja na kofia zitauzwa kwa njia ya mnada kupitia minada ya…

Added by G5 NEWS on May 9, 2013 at 5:26pm — No Comments

EXCLUSIVE: Agness Masogange the Video Queen aongea ya Moyoni kuhusu yote yanayozungumzwa kumuhusu yeye.

Anaweza kuwa ndiye video queen hot&sexy zaidi Bongo na ingawa ameshiriki on two videos pekee anabaki kuwa V,queen mwenye jina kubwa zaidi. Siku za karibuni amekuwa akimake headlines on social networks pia magazeti baada ya video na picha zake chafu kusambaa on social networks,TEENTZ imefanya nae Exclusive interview na kuongea ya moyoni kuhusu yote yanayozungumzwa kumhusu.…



Added by G5 NEWS on May 9, 2013 at 5:18pm — 1 Comment

KIPINDI CHA AFYA CHECK CHA CLOUDS TV ,WIKI HII ILIKUWA INAHUSU MIMBA INAYOTUNGA NJE YA UZAZI YAANI ECTOPIC

LIKE OUR FACEBOOK FANPAGE : AFYA CHECK
FOLLOW US ON TWITTER: @afyacheckonline

Added by G5 NEWS on May 8, 2013 at 11:25am — No Comments

LINA NA BARNABA WAIKACHA SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAY DEE.

Linah na Barnaba hawatakuwepo kwenye show ya miaka 13 ya muziki ya Lady Jaydee itakayofanyika May 31, kwa kile walichodai ni kutoafikiana kwenye malipo.

Wamesema licha ya kuendelea kuwepo kwa majina yao kwenye poster ya show hiyo, hawatotumbuiza siku hiyo.

“Dada…

Added by G5 NEWS on May 5, 2013 at 12:00pm — 1 Comment

FLOYD MAYWEATHER KASHINDA TENA MAY 5 2013,

Added by G5 NEWS on May 5, 2013 at 11:38am — No Comments

KUHUSU NGOMA MPYA YA AVRIL NA OMMY DIMPOZ

Kwa wale woote ambao wamekuwa wakisubiri kwa hamu ile ngoma ya bi dada Avril kutoka Kenya na Bongo's finest Ommy Dimpoz ambayo ilikuwa izinduliwe mwishoni mwa mwezi uliopita kama ilivyokuwa imetangazwa, story ni kwamba mipango haikuenda kama ilivyowekwa hasa kutokana na kupishana sana kwa ratiba za wasanii hawa wawili, ikizingatiwa pia kuwa kwa…

Added by G5 NEWS on May 5, 2013 at 11:31am — No Comments

PREMIER LEAGUE MAY 4 2013

Added by G5 NEWS on May 5, 2013 at 11:28am — No Comments

News Topics by Tags

Monthly Archives

2013

2012

2011

2010

2009

2008

1999

1970

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

#ContentAdverts{ width:488px; float:center; margin-right:15px; }