FREE FLAVA

Latest Activity

joasan posted a status
""
7 minutes ago
joasan posted a status
""
8 minutes ago
joasan posted a status
""
9 minutes ago
sushanta posted a status
"Mosley vs Mayorga Game II Live…"
20 minutes ago

Like us on Facebook..!

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

Top 5 Videos this Week

February 2012 Blog Posts (71)

Please Remember the Splash of red-colored on Sole red bottom shoes

concerning the red-colored carpet, female star not just telephone call for one of a kind and gorgeous evening dress, but also individual a pair of delicate increased heels. The favorites of ladies to increased heels are innate, I think. maybe ladies can really feel which they are much more near to some queen or perhaps a princess once they are standing over a increased height. On this point, I can not have their feelings, but I can see their satisfaction on their faces.??Compared…

Added by lily on February 29, 2012 at 4:20pm — No Comments

Wiz Khalifa Ajikadiria Kuingiza Dolla za Kimarekani Millioni 100 Mwaka huu

Wiz Khalifa aliingia kwenye Forbes kwenye orodha ya HIPHOP CASH KINGS 2011 kwakufanikiwa kuingiza dollar za kimarekani millioni 11,kutoka vyanzo mbalimbali kama mauzo ya albamu yake ,matamasha na biashara zake kadhaa.

Katika mahojiano yake na mtandao wa Forbes alivyokuwa kwenye party yake ya kusikiliza mixtape yake mpya inayojulikana kwajina la Taylor Allderdice,Wiz khalifa…

Added by G5 NEWS on February 29, 2012 at 10:55am — 1 Comment

Erykah Badu Kufungiwa Kupiga Matamasha Nchini Malaysia Kutokana na Tattoo yake ya Begani

Msanii Erykah Badu kufungiwa kupiga matamasha nchini Malaysia kutokana na tattoo yake ya mdaa (Temporary Tattoo)ambayo alionekana akiipachika begani mwake .Tattoo hiyo aliyoonekana akiiweka begani mwake ilikuwa ni tattoo yenye neno laki Arabu la "ALLAH".Alifungiwa kupiga matamasha nchini huko…

Added by G5 NEWS on February 29, 2012 at 9:00am — No Comments

Rapper Bizarre kujitoa kwenye kundi la D12 na kukanusha uvumi wa yeye kujiunga na kundi la Odd Future

Msanii Rapper Bizarre jumatatu iliyopita ya tarehe 27 alitangaza rasmi kujitoa katika kundi la D12 na karibuni ataanzisha kundi lake.

Kwenye mahujiano yake na mtandao wa Hiphop DX alisema hivi ""Yeah, I’m not in D12 no more. We just had creative differences and decided to go our separate ways – well I…

Added by G5 NEWS on February 29, 2012 at 8:59am — No Comments

Kenya yapata nafasi za juu katika Shirika la Biashara Duniani

Mwakilishi wa kudumu wa Kenya katika Umoja wa Mataifa Tom Mboya Okeyo atakuwa mwenyekiti wa Baraza la Shirika la Biashara Duniani (WTO) kwa ajili ya Biashara ya Bidhaa mwaka 2012.

Baraza la Biashara ya Bidhaa ni moja kati ya mabaraza matatu ya biashara ya WTO, kwa pamoja na Baraza la Biashara katika Huduma na Baraza la Biashara la…

Added by G5 NEWS on February 29, 2012 at 8:36am — No Comments

Al-Shabaab wako katika ukingo wa kushindwa, wasema wachambuzi

Mfululizo wa vipingamizi vya kijeshi na kupoteza viongozi wao wakuu kumewadhoofisha al-Shabaab huko Somalia, maafisa wa serikali na wachambuzi wa masuala ya usalama wanasema.

Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, mwanamgambo aliyejulikana kwa jina la Mohammed Sakr aliuwawa,pamoja na wanamgambo wengine wawili wa kigeni. Vyombo vya vya habari vya Somalia vilvile…

Added by G5 NEWS on February 29, 2012 at 8:32am — No Comments

Tanzania yapokea maabara ndogo za kutambua dawa za kughushi

Kampuni ya dawa za binadamu ya Ujerumani Merck ilitangaza siku ya Jumatatu (tarehe 27 Februari) kwamba ilifadhili maabara ndogo tano kwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa ajili ya kupimia dawa za kughushi."Maabara hizo ndogo zinazobebeka zinajulikana kwa upekee wake…

Added by G5 NEWS on February 29, 2012 at 8:28am — No Comments

HIP HOP NIGHT JUMAPILI HII NDANI YA DAR LIVE

Added by G5 NEWS on February 28, 2012 at 2:25pm — No Comments

New Track : AMINI - Ni Wewe

Added by G5 NEWS on February 28, 2012 at 1:09pm — No Comments

New Track : AMINI - Ni Wewe

Added by G5 NEWS on February 28, 2012 at 12:30pm — No Comments

Al-Shabaab wasema al-Qaeda kuongezeka nchini Somalia

Al-Shabaab walitangaza Jumapili (tarehe 26 Februari) kuwa wanakusudia kupanua ufikaji wa al-Qaeda nchini Somalia baada Ethiopia na Serikali ya Mpito ya Shirikisho (TFG) kushinda dhidi ya kikundi cha wanamgambo, Mtandao wa Habari wa Shabelle wa Somalia uliripoti.

Added by G5 NEWS on February 28, 2012 at 11:19am — 2 Comments

Justin Bieber Sued Over Beaver War

The company behind a Justin Bieber themed mobile app is firing back at the Biebs -- insisting the Constitution protects its right to lampoon the crap out of anyone it wants.TMZ broke the story, Bieber sent a cease-and-desist letter to the creators of "Joustin' Beaver" -- claiming the company is trampling all over Justin's trademarks.

But now, the company in question --…

Added by G5 NEWS on February 28, 2012 at 10:56am — No Comments

Lil Wayne kuanzisha kampuni ya kutengeneza viatu vyake

Pamoja na mafanikio yaliopatikana katika kundi la YMCMB katika kipindi kifupi,Kiongozi wa kundi hilo Lil Wayne kwasasa anakuja kitofuati kwenye kibiashara atangaza kufungua kampuni yake ya kutengeneza viatu vyake .Kutokana na jarida la vibe msanii huyo alizungumzia machache kuhusiana na viatu hivyo ikiwemo nakusema…

Added by G5 NEWS on February 28, 2012 at 10:33am — 1 Comment

Jim Jones kakamatwa na polisi kwa mara ya pili

Msanii kutoka kundi la Dipset,Jim Jones kakamatwa na Polisi kwa mara ya pili ndani ya siku nne zilizopita kwakosa la kutumia leseni iliyofungiwa.Kosa hilo lilitokea maeneo ya Foxwoods.…

Added by G5 NEWS on February 28, 2012 at 10:00am — No Comments

Msanii wakike kutoka kundi la G-unit Precious Paris kuachia karibuni Mixtape yake mpya

Msanii wa kike kutoka kundi la G-unit,mwanadada Precious Paris hivi karibuni katangaza ataachia mixtape yake mpya iitwayo "FROM PARIS WITH LOVE".Mixtape hiyo itakuwa nyimbo kadhaa ambazo amewashirikisha vichwa kadhaa kama 50cent ,msanii kutoka kundi la FELLOW RIDA GANG "Kidd…

Added by G5 NEWS on February 28, 2012 at 10:00am — No Comments

Exclusive Video: Bobby Valentino – ‘3 AM’

Added by G5 NEWS on February 28, 2012 at 9:51am — No Comments

New Track: Mwasiti - Kisima (Mp3)

Added by G5 NEWS on February 27, 2012 at 2:00pm — No Comments

WIZ KHALIFA ATANGAZA TAREHE YA KUACHIA MIXTAPE YAKE MPYA "TAYLOR ALLDERDICE"

Mashabiki wa Wiz Khalifa hawana budi ya kusubiri ,Kiongozi wa Taylor Gang Wiz Khalifa atangaza tarehe ya mixtape yake mpya iitwayo TAYLOR ALLDERDICE.Mixtape hiyo itaachiwa tarehe 13th March.Mbali na Taylor Allderdice, Wiz amekuwa katika studio kurekodi albamu yake ya pili iitwayo ONIFC.

“Taylor Allderdice Drops… March 13th TGOD,” alitweet Wiz Khalifa .Hiyo ndo mixtape…

Added by G5 NEWS on February 27, 2012 at 12:38pm — No Comments

Robin Thicke & Paula Patton wanadaiwa kodi na IRS dollar za kimarekani $500,000

Wanandoa hao Robin Thickle & Paula Patton wamejikuta wapo kwenye deni kubwa la dollar zakimarekani karibia $500,000 na kampuni ya IRS.Mpaka sasa wameshakamilisha nusu ya deni hilo na bado wanaendelea kushughulikia juu ya deni hilo.Kutoka na mtandao wa kimarekani wa TMZ,inaonekana kwamba wanandoa hao hawakufaili…

Added by G5 NEWS on February 27, 2012 at 10:42am — No Comments

DAR LIVE ILIVYOFURIKA USIKU WA JANA.

- Baada ya show ya Roma akafuatia msanii Ally Kiba kwa steji huku pembeni akiwa na mdogo wake Abdu Kiba.…

Added by G5 NEWS on February 27, 2012 at 10:19am — No Comments

News Topics by Tags

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

2009

2008

1999

1970

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

#ContentAdverts{ width:488px; float:center; margin-right:15px; }