Latest Activity

Like us on Facebook..!

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

1. shilah

Added by jack nyenza ligimilo on May 26, 2013

2. me

Added by ancilar on August 15, 2012

3. DSC00512

Added by Benni ally baby-g on May 16, 2013

Top 5 Videos this Week

1. Besta - For ma Baby

Added by nelson on June 3, 2011

3. ZE COMEDY - MKASA WA BOSI

Added by DJ CHOKA on May 13, 2009

Featured News Posts (3,523)

Video za utengenezaji wa video ya mwisho aliyoonekana Marehemu Ngwea South Africa.

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku…

Added by G5 NEWS on June 18, 2013 at 1:00pm — No Comments

SIRI ZAIDI KIFO CHA MWANAMUZIKI LANGA!

Na Mwandishi Wetu

MWILI wa mwanamuziki Langa Kileo jana (Jumatatu) ulipumzishwa kwenye nyumba ya milele katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar lakini nyuma ya kifo chake kuna siri ambayo rafiki yake wa karibu (jina linahifadhiwa) mkazi wa Mikocheni A jijini Dar ameamua kuiweka…

Added by G5 NEWS on June 18, 2013 at 12:52pm — No Comments

HII NDO VIDEO YA WIMBO ALIYOIMBA AUNT EZEKIEL....

Added by G5 NEWS on June 18, 2013 at 12:50pm — No Comments

BOMU ARUSHA... NJAMA NZITO

Na Joseph Ngilisho, Arusha

NYUMA ya matukio ya kigaidi ambayo yamefululiza kutokea jijini Arusha kuna njama nzito baada ya kuibuka maswali mengi yanayosababisha mahali hapa kutokuwa shwari na salama kufuatia bomu lililolipuliwa Jumamosi iliyopita, Uwazi lina uchambuzi.…

Added by G5 NEWS on June 18, 2013 at 12:44pm — No Comments

AY Tanzania Finest Interview at BBC WORLD NEWS

Added by G5 NEWS on June 18, 2013 at 12:02pm — No Comments

MOTO WAZUA KIZAA ZAA KARIAKOO JIJINI DAR

Moto ukiunguza paa la baa hiyo.…

Added by G5 NEWS on June 18, 2013 at 11:55am — No Comments

MASTAA WA K*** BONGO MOVIE… KAMA MAFUNGU YA NYANYA

Na Imelda Mtema

NI sahihi kabisa nikisema kuwa Klabu ya Bongo Movie Unity ndiyo jicho la mashabiki wengi wa filamu za nyumbani. Wasanii waliopo ndani ya umoja huo, wengi wao ndiyo mastaa wakubwa ambao mashabiki hupenda kuwafuatilia ili kujua maisha yao.…

Added by G5 NEWS on June 17, 2013 at 4:35pm — 1 Comment

Ludacris Amepiga Hizi Picha Baada Ya Uvumi Kuwa Kapigwa Na Chupa Kichwani

Yes jamaa anajua kutumia Instargram yake vizuri, Ludacris ameingia kwenye Instargram kukanusha kuwa ameumizwa na chupa iliyo rushwa wakati anapiga mzigo kwenye club flani huko Atlanta. Ndio kuna chupa ilirushwa kuelekea kwangu ila haijanigusa and i m okey alisema Ludacris kupitia hii picha aliyo weka kwenye twitter…

Added by G5 NEWS on June 17, 2013 at 3:59pm — No Comments

Rapper Jay Z Ametangaza Ujio Wa Album Yake Mpya Na Jinsi Ya Kuipata Kirahisi

Rapper anaye set standard za Hiphop duniani Jay Z ametangaza ujio wa cd yake mpya Itakayoitwa Magna Carta Holy Grail, Itakuwa mtaani July 4 na kupitia Simu za Sumsung utaipata kirahisi zaidi. Watumiaji Milioni moja wa kwanza wa Samsung Galaxy III, Galaxy S 4, na Galaxy Note II watapata nafasi ya kuwa na…

Added by G5 NEWS on June 17, 2013 at 3:51pm — No Comments

MRISHO MPOTO NA BENDI YA MJOMBA BAND KUFANYA KAMPENI YA USAFI WA MAZINGIRA‏

Mariam Mahamudu Afisa Afya, Mazingira Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii akizungumza katika mkutano huo kuzungumzia kuhusu kampeni hiyo, kulia ni Mrisho Mpoto Mkurugenzi wa Mjomba Band.…

Added by G5 NEWS on June 17, 2013 at 3:47pm — No Comments

LIST YA MASTAA ZAIDI YA 20 WALIOKWISHA TEMBEA NA KIM KARDASHIAN YA KANYE WEST

TJ Jackson (1994-1998)

Damon Thomas (m. 2000–2004)

Julian St. Jox (2001)

(during her marriage to Damon)

Ray J (2002-s*x tape made 2003(during her marriage to Damon)-2007)

Nick Lachey 2006

Nick Cannon (Sept 2006-Jan…

Added by G5 NEWS on June 17, 2013 at 3:44pm — No Comments

Rais Kikwete akutana na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Mark Simmonds jijini London Uingereza siku ya jana.



Sorce:…

Added by G5 NEWS on June 16, 2013 at 12:15pm — 4 Comments

TASWIRA ZA MLIPUKO WA BOMU KATIKA MKUTANO WA CHADEMA SOWETO JIJINI ARUSHA

Added by G5 NEWS on June 16, 2013 at 11:55am — No Comments

MANCHESTER CITY YAPATA KOCHA MPYA

Anafahamika kama Manuel Pellegrini ameteuliwa rasmi kuwa kocha mpya wa Manchester City leo hii akiichukua nafasi ya

kocha Roberto Mancini. Pellegrini amesaini mkataba wa miaka…

Added by G5 NEWS on June 16, 2013 at 11:51am — 1 Comment

DIAMOND AMSUTA ‘MGANGA WAKE’

Na Imelda Mtema

STAA anayeng’aa katika Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amemsuta mganga aliyejitokeza na kudai kwamba mwaka huu staa huyo hatapata mafanikio yoyote na  atapotea katika fani.…

Added by G5 NEWS on June 14, 2013 at 12:00pm — 3 Comments

MAMA WEMA ATISHIA KUMCHOMA MTU KISU

Na Mwandishi Wetu

VIDEO inayomuonesha mama wa Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu akizua timbwili ‘hevi’ nyumbani kwa mwanaye huyo huku akitishia kumchoma mtu kisu imevuja, Ijumaa limeinasa.…

Added by G5 NEWS on June 14, 2013 at 12:21pm — 3 Comments

Ufafanuzi Wa Lil Wayne Kuhusu Lini Atastaafu Mziki.

"Yes The Carter V Ndio Cd Ya Mwisho Ila Bado Haijanza kufanyiwa Kazi" Rapper anaye fatiliwa zaidi na vijana duniani kwa sasa Lil Wayne amesema Album yake ya mwishi itakuwa The Carter V ila haitatoka anytime soon, kwanza album kibao kutoka kwake na Baba yake wa kambo Birdmen zitatoka. Wizzy amesema anamuda wa kutosha wakurecodi mziki mpya mpaka atakapo amua kutangaza…

Added by G5 NEWS on June 14, 2013 at 11:53am — 2 Comments

DIVA: HATA KAMA ANA WANAWAKE, NIACHENI NA PREZZO WANGU

Na Mwaija Salum

MTANGAZAJI wa Kituo cha Redio cha Clouds, Loveness Malinzi ‘Diva’ ambaye hivi karibuni alianika penzi lake na mwanamuziki wa Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’, amefunguka kuwa watu waache kumsema vibaya mtu wake huyo na kudai hata kama ana wanawake wengine, anampenda tu.…

Added by G5 NEWS on June 14, 2013 at 11:46am — 2 Comments

NEW VIDEO: MAY BABY / QUICK ROCKA FEAT SHAAH NA NGWEA

Wengi tulikuwa tumemzoea kama sio yeye kutuzoesha kumsikia akichana kwa haraka haraka kwa takribani ngoma zake zote zilizopita, lakini sasfari hii Quick Rocka ameamua kuja kitofauti kabisa. Wiki tatu zilizopita nilikutana na Quick na akanitonya kuwa ana ngoma mpya ambayo amechana kwa flow tofauti na tuliyomzoea nayo "My Baby". Na sasa…

Added by G5 NEWS on June 14, 2013 at 11:39am — 3 Comments

OMMY DIMPOZ AMTUSI...

Na Mwandishi Wetu

KWELI asiye na adabu hakosi sababu ya kuharibu, mwenye mdomo mchafu ni ada yake kutoa neno chafu, mwanamuziki chipukizi, Omar Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amedhihirisha kuwa ana kiwango cha juu sana cha dharau kwa kumdhihaki na kumtusi mtu aliyetangulia mbele za haki.…

Added by G5 NEWS on June 14, 2013 at 11:33am — 3 Comments

© 2013   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

#ContentAdverts{ width:488px; float:center; margin-right:15px; }