FREE FLAVA

Like us on Facebook..!

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

Top 5 Videos this Week

G5 NEWS's Blog Posts Tagged 'STEVEN' (8)

MCHEKI MAREHEMU STEVEN KANUMBA ENZI ZA UHAI WAKE AKIPIGA KINANDA KATIKA STUDIO ZA URBAN PULSE UK...!!!

Marehemu Steve kanumba akifanya mazoezi ya kupiga Kinanda kabla ya kuanza kurekodi nyimbo katika studio za zamani za Urban Pulse Reading UK akiwa na Producer Young Josh, Magabe na Frank

Added by G5 NEWS on April 11, 2012 at 4:00pm — 2 Comments

MCHEKI MAREHEMU STEVEN KANUMBA ENZI ZA UHAI WAKE AKIPIGA KINANDA KATIKA STUDIO ZA URBAN PULSE UK...!!!

Marehemu Steve kanumba akifanya mazoezi ya kupiga Kinanda kabla ya kuanza kurekodi nyimbo katika studio za zamani za Urban Pulse Reading UK akiwa na Producer Young Josh, Magabe na Frank

Added by G5 NEWS on April 11, 2012 at 4:00pm — No Comments

Standing Among Chosen Stars in Heaven (POEM FROM JINLEPOET BLOG DEDICATED TO LATE STEVEN KANUMBA)

A day has passed with false hope that I’m just dreaming,

But everywhere I go people are just screaming,

From children to adults they are crying,

Facebook, Google plus and tweeter fans are mourning,

Calling out your name with deep pains they are revealing,

You have fallen but now standing among chosen…

Added by G5 NEWS on April 11, 2012 at 4:00pm — No Comments

IBADA YA KUAGA MWILI WA STEVEN KANUMBA

 

Ibada ya kumuaga mpendwa wetu Steven Kanumba iliyofanyika leo katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es…

Added by G5 NEWS on April 10, 2012 at 5:00pm — 1 Comment

RATIBA YA MAZISHI YA MSANII STEVEN KANUMBA ILIYOTUFIKIA MPAKA SASA

Mwili wa marehemu Steven Kanumba utachukuliwa kwa msafara kutoka Hospitali ya Taifa, Muhimbili saa 2:30 asubuhi. Utapitishwa Barabara ya Umoja wa Mataifa na Ali Hassan Mwinyi hadi Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni ambako Misa ya kumuombea itasomwa pamoja na salamu mbalimbali kabla ya watu wote…

Added by G5 NEWS on April 9, 2012 at 9:30pm — No Comments

RATIBA YA MAZISHI YA STEVEN KANUMBA

Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa siku ya jumanne tarehe 10 April, na atazikwa wapi anasubiriwa mama mzazi wa marehemu ambaye anatokea SHINYANGA. Akija ndo itaamuliwa kama atazikwa hapa au atasafirishwa na kukiwa na mabadiliko tutaendelea kuwahabarisha. RIP Steven…

Added by G5 NEWS on April 7, 2012 at 7:30pm — 4 Comments

BARNABA APATA MTOTO WA KIUME NA KUMPA JINA LA STEVEN KWA KUMUENZI KANUMBA

Wakati watanzania wakiwa kwenye majonzi makubwa kwa kuondokewa na kipenzi Steven Kanumba .Usiku wa kuamkia leo majira ya saa 6 msanii kutoka THT Barnabas amepata mtoto wa kiume na ili kumuenzi Kanumba ameamua kumpa mtoto wake jina la Steven…

Added by G5 NEWS on April 7, 2012 at 4:55pm — 3 Comments

BREAKING NEWS: STEVEN KANUMBA AMEFARIKI DUNIA.

Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema msanii maarufu nchini Steven Kanumba amefariki dunia ghafra na maiti iko mochwari muhimbili. Habari zaidi kuwajia…

Added by G5 NEWS on April 7, 2012 at 4:30am — 7 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

#ContentAdverts{ width:488px; float:center; margin-right:15px; }