Kwa Wapenzi Wa filamu nakuvujishia hii, After Earth Ni Filamu kubwa sana inayo kuja kutoka kwa Will Smith So Kaa Tayari Kwa Hilo.Hivi Unakumbuka nyimbo za Will Smith Kama Black Suits Comin, Gettin' Jiggy, Summer Time Na Men In Black, Sasa Fahamu Kuwa Rapper Na Mwigizaji Wa Muda Mrefu Will Smith Amesema Kwa Muda Sasa Amekuwa Studio…

Added by G5 NEWS on May 24, 2013 at 12:04pm — No Comments

Jamani huyu ndio Aunty Suzy aliehojiwa na Dina Marios kwenye Leo Tena ya Clouds FM
Huyu ndio Shoga ambae ameolewa kama mke wa pili na mwanaume mwanzake leo alifika pande za mjengoni kudhihirisha mvumi huo ndani ya kipindi cha Leo Tena na Dina Marios.....Shoga huyo kama unavyomuona ni kama mwanamke kabisa na haoni aibu kulipinga hilo sehemu yoyote hile na pia anatupia nguo za k*** mwanzo mwisho… 
Added by G5 NEWS on September 30, 2011 at 3:31pm — 28 Comments
2013
2012
2011
2010
2009
2008
1999
1970
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
