Added by deejay dullah on November 16, 2011

Mke wa rais wa Tanzania ataka uimarishwaji wa huduma za wajawazito
Tanzania inapaswa kufanya kazi kubwa ya kuhakikisha hakuna vifo vya wanawake na watoto wakati wa ujauzito na uzazi, alisema Salma Kikwete, mke wa rais wa nchi hiyo, hapo Alhamisi (tarehe 15 Machi) katika mkutano wa siku ya Utepe Mweupe ulioitishwa kushajiisha uzazi salama.Kwa sasa Tanzania ina kiwango cha juu cha watoto wanaokuwa hai katika Afrika ya Mashariki .
Vilevile…

Added by G5 NEWS on March 17, 2012 at 9:42am — No Comments
2013
2012
2011
2010
2009
2008
1999
1970
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
