FREE FLAVA

Like us on Facebook..!

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

Top 5 Videos this Week

All Blog Posts Tagged 'ya' (181)

Diamond Platnumz katoa ya moyoni na kuwachana mashabiki wa Wema Sepetu

Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii wenu… kama mngemshauri apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh zisizo na Faida, wenda ingemsaidia Pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta maendeleo badala ya…

Added by G5 NEWS on August 14, 2014 at 9:30pm — No Comments

Unatumia iPhone?, hivi sasa unaweza ku-upgrade OS ya simu yako kuwa iOS 7

Watumiaji wa simu za iPhone hivi sasa wanaweza ku-upgrade operating system zao kutoka iOS 6 na kuwa iOS7. Kampuni ya Apple imetoa nafasi kwa watumiaji wake wa zamani ambao wana vifaa vya apple ku-update operating system na pia watakao nunua iPhone 5s na iPhone5c wataikuta iOS7 kwenye simu zao tayari kwa kutumia.

So, kama unavutiwa na muonekano pamoja na ufanyaji kazi wa…

Added by G5 NEWS on September 19, 2013 at 2:31pm — No Comments

Agness Masogange ameachiwa kutoka kwenye mikono ya polisi huko South Africa.Video model Agness Gerald maarufu kama “Agness Masogange” ambaye ililipotiwa kwamba yeye pamoja na mdogo wake wamekamatwa nchini South Africa wakiwa na mzigo wa dawa za kulevya. Habari mpya hivi sasa ni kwamba wapo nje ya mikono ya polisi wa huko South Africa.…

Added by G5 NEWS on September 19, 2013 at 2:27pm — No Comments

Shetta amaindi baada ya kukaguguliwa begi lake kama jambazi Airport Zanzibar

Msanii Shetta ameonekana kukerwa na kitendo cha kukaguliwa begi lake na kutoa kila kitu kilichokuwa ndani ya begi lake kwa ajili ya kukamilisha ukaguzi huo, katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akisafiri kuelekea Mombasa akiwa na msanii mwenzake kutoka kiumeni "Chege"…

Added by G5 NEWS on September 18, 2013 at 11:35am — No Comments

Picha 10 za Usiku wa Birthday ya Ommy Dimpoz

Added by G5 NEWS on September 14, 2013 at 12:10pm — No Comments

Baada ya Mwana F.A kupewa tuhuma za ahadi feki kwa Mama Mangwea, hatimaye Mama huyo aibuka kumtetea.

Kutokana na tuhuma ambazo watu wengi walimpa Mwana F.A kwamba alitoa ahadi hewa kwenda kwa Mama Mangwea. Kwenye show ya The Finest, Mwana F.A aliahidi kutoa asilimia 15 za faida ya onyesho hilo. Akiongea na Mwananchi alisema,“Nakiri kukosea jambo moja, nilipoahidi niliongea na wanahabari lakini wakati wa kutoa nilitoa bila kutangaza.Hii kutoa jamani ni moyo, haina haja kumtangaza mtu kwa…

Added by G5 NEWS on September 14, 2013 at 11:24am — No Comments

Wema Sepetu na Mama Kanumba waangua kilio kwenye uzinduzi ''Foolish age'' ya Lulu...

Super Star Wema Sepetu na Mama mzazi wa…

Added by G5 NEWS on September 1, 2013 at 4:00pm — 1 Comment

Baada ya ukimya wa miaka 6 "Baraka au Laana" yamrudisha tena GK

Baada ya ukimya wa miaka sita bila ngoma wala interview, leo King Crazy GK akiwa amesindikizwa na East Coast Team nzima kuanzaia AY, Mwana FA, Buf G (Gizinga), Paulin Zongo, Yuzo pamoja na Snea, ameibuka na kudondosha single mpya "Baraka au Laana" aliyomshirikisha Yuzo.…

Added by G5 NEWS on August 29, 2013 at 10:15am — No Comments

Ile video ya Diamond ya Afrika kusini anaizindulia hapa bila kiingilio

Ni mazoea ambayo watu wake wamekua nayo kwamba akiwa na tukio kama hili basi ni lazima atalifanya kwenye mojawapo ya club za usiku Dar es salaam kama alivyokua akifanya mara nyingi lakini this time staa huyu anaelipwa ghali zaidi kwenye show zake ambae pia siku zake za kupumzika mara nyingi ni jumatatu au jumanne ameenda kwenye levo nyingine.

Diamond Platnumz kesho August 29…

Added by G5 NEWS on August 28, 2013 at 2:23pm — No Comments

Bifu la chinichini limeanza kati ya @RealJmartins Vs @Wizkidayo

Siku kadhaa zilizopita @Wizkidayo alimjibu vibaya shabiki mmoja ambaye alitoa comment ambazo Wizkid hakuzipenda kwenye picha yake aliyoiweka kwenye Instagram. Wizkid alipost picha ambayo ilikuwa na caption ya “About to perform at this wedding with an hangover! Jah guide! Lol!”. Shabiki mmoja akamjibu na Wizkid hakupenda na kumjibu huyo shabiki na maneno “Broke people always think dey have…

Added by G5 NEWS on August 28, 2013 at 11:59am — No Comments

Jokate na Lucci kuileta documentary ya behind the scene ya “Kaka dada”

Video kali kama hii lazima utakuwa na hamu ya kuona jinsi ilivyotengenezwa au vipi?. Kaka dada video ya Lucci na Jokate ambayo imetoka ijumaa wiki iliyopita ina story nyingi sana nyuma yake ambazo wapenzi wa music hasa wa video hii hawajafahamu. Habari kutoka kwenye source ya uhakika kabisa zinasema kwamba kuna baadhi ya scene hazijakurekodiwa kutokana na mambo yaliyotokea…

Added by G5 NEWS on August 27, 2013 at 10:28am — No Comments

Unajua kuhusu single mpya ya Diamond inayokuja?

Diamond yupo kwenye hatua za mwisho kutoa wimbo wake na video yake ya “Number one” ambapo tayari picha kadhaa zimetoka kwenye internet zikionyesha sehemu ya video hiyo yenye magari ya kifahari ndani yake pamoja na vitu vingine.

Kwenye hizi siku kadhaa kabla hajaiachia, Diamond anaendelea kuwaonjesha mashabiki wake ladha ya huu wimbo kabla hata haujatoka ambapo kwenye official twiiter account zake za twitter, facebook na instagram Diamond anapost picha zenye mistari…

Added by G5 NEWS on August 27, 2013 at 10:23am — No Comments

Kuwa wa kwanza kuona video mpya ya Young D – “Kijikuu”

Added by G5 NEWS on August 26, 2013 at 11:15am — No Comments

Meek Mill wa MMG amualika Ice Prince wa Nigeria ku-perform pamoja naye ndani ya U.S.A

Baada ya kushinda tuzo ya Best African act kwenye BET awards, kumefungua njia nyingi za Ice Prince ambaye anawakilisha Nigeria. Meek Mell msanii ambaye ni mshirika wa karibu na mkali wa FIesta 2012 Rick Ross, amempa mualiko Ice Prince wa kwenda kwenye jiji la Philadelphia ku-perform kwenye jukwaa moja ambalo litashambuliwa na mastaa kibao wakiwemo kutoka MMG.

Tarehe 30/8 kutakuwa na…

Added by G5 NEWS on August 25, 2013 at 10:25am — No Comments

Msanii wa bongo movie/fleva apata ajali mbaya baada ya kugonga kalavati, analalamika kifua kinamuuma

Msanii wa Bongo movie/bongo fleva, Hemedi a.k.a PHD alipata ajali jana usiku maeneo ya kijitonyama kisiwani, alipokuwa akitokea sinza kumshusha swahiba wake Gelly wa rhymes.

Hemedy ambae haijulikani alikuwa anaendesha under influence au la, alijikuta akivamia kalavati lililopo pembeni ya mtaro na kusababisha ajali hiyo iliyopelekea gari…

Added by G5 NEWS on August 25, 2013 at 10:17am — No Comments

Chris Brown aongea mawazo yake baada ya kupewa hukumu ya kusafisha mtaa kwa mara ya pili.

Baada ya Chris Brown kuhukumiwa masaa mengine 1000 ya kufanya kazi za jamii kusafisha mitaa, hii ni kutokana na kushindwa kusafisha vizuri kwenye hukumu ya kwanza baada ya kumpiga Rihanna. Tangu siku ya hukumu Chris Brown alionekana mwenye hasira sana na hivi karibuni ameongea zaidi kuhusu hisia zake kupitia mtandao wa twitter.Hizi ni baadhi ya tweets zake ambazo…

Added by G5 NEWS on August 24, 2013 at 1:30pm — No Comments

Video: Diamond aeleza alivyosota, alivyouza mitumba,mafuta na kazi ya kiwandani

Hitmaker wa 'Moyo Wangu' Naseeb Abdul akiwa ni miongoni mwa wasanii walio katika ziara ya Serengeti Fiesta sasa leo kwenye semina ya fursa huko mkoani Tabora aliweza kufunguka na kueleza jinsi alivyosota,alivyouza mitumba,mafuta na kazi ya kiwadani.

Itazame hii video hapa uone jinsi akielezea katika Semina ya Fursa mkoani…

Added by G5 NEWS on August 24, 2013 at 1:18pm — No Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

2009

2008

1999

1970

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

#ContentAdverts{ width:488px; float:center; margin-right:15px; }