Added by deejay dullah on November 16, 2011

JOSE CHAMELEON kuachia video yake mpya iitwayo BADILISHA
Added by G5 NEWS on February 6, 2013 at 9:45am — No Comments

VIDEO : Cassidy akimpa onyo MEEK MILL asijibu diss track yake ya dakika 10 (RAID)
Msikilize rapper CASSIDY akizungumza kuhusiana na uamuzi wa kutoa diss track track yenye urefu wa dakika kumi kwaajili ya MEEK MILL ambaye wana beef naye .Katika mahojiano haya Cassidy anamuonya MEEK asijaribu kujibu track hii.…

Added by G5 NEWS on January 9, 2013 at 12:00pm — No Comments

Kipindi cha Take One cha Clouds Tv cha wiki hii (Mama yake mzazi wa msanii Sajuki anaongea na wewe ndani ya Take One)
Ilikuwa ni baada ya wewe kujitolea kwa moyo mmoja kumsaidia mwanae katika wakati wake wa shida...aliembeba miezi tisa tumboni ,Mama yake mzazi Sajuki anataka kuongea na wewe ndani ya Take…

Added by G5 NEWS on May 18, 2012 at 10:30am — No Comments

Fabolous ndani ya behind the scene ya nyimbo yake mpya ya "Got That Work" na pia akiongelea kuhusiana album yake mpya iitwayo Loso's Way 2
Added by G5 NEWS on April 19, 2012 at 10:30am — No Comments

BREAKING NEWS: Elizabeth Michael a.k.a Lulu apandishwa kizimbani leo kusomewa mashtaka yake kufuatia kuhusika na kifo cha Kanumba
Muigizaji wa Filamu nchini anaehusishwa na kifo cha Muigizaji Mwenzie,Marehemu Steven Kanumba,Bi Elizabeth Michael a.k.a Lulu amepandishwa kizimbani mapema leo asubuhi kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam kwa kusomewa mashtaka yake kuhu...siana na kuhusika kwa kifo cha…

Added by G5 NEWS on April 11, 2012 at 3:03pm — 3 Comments

Common akiwa kwenye mahojiano azungumzia kuhusu kufanya kazi na JayZ na movie yake mpya iitwayo LUV
Added by G5 NEWS on March 8, 2012 at 11:29am — No Comments

Wiz Khalifa aachia cover ya mixtape yake mpya iitwayo ‘Taylor Allderdice’ itakayotoka hivi karibuni
Kiongozi wa Taylor Gang,Wiz Khalifa tarehe 13 March mwaka huu ataachia mixtape yake mpya iitwayo Taylor Allderdice,mixtape itakuwa na nyimbo kadhaa kama “California,” “Mary 3x,” and “My Favorite Song,” na kutakuwa na vichwa kadhaa vimeshirikishwa kutoka Taylor Gang kama Juicy J, Chevy Woods, and LoLa…

Added by G5 NEWS on March 8, 2012 at 11:21am — No Comments

Game Atangaza Jina la Album yake mpya "F.I.V.E"
Game atangaza jina la album yake ya tano ambayo itaitwa kwa jina la "F.I.V.E" ambayo kirefu chake ni Fear Is Victory’s Evolution.Album ya F.I.V.E ndo album itayofuata baada ya album ya R.E.D ambapo album hio ni kutokana na msukumo wa Nas .Game aliiambia jarida la XXL kwamba yeye ni mshabiki mkubwa wa Nas na pia ni kaka yake kwenye hii tasnia ya mziki.
Game alisema hio ndio…

Added by G5 NEWS on March 8, 2012 at 11:12am — No Comments

Erykah Badu Kufungiwa Kupiga Matamasha Nchini Malaysia Kutokana na Tattoo yake ya Begani
Msanii Erykah Badu kufungiwa kupiga matamasha nchini Malaysia kutokana na tattoo yake ya mdaa (Temporary Tattoo)ambayo alionekana akiipachika begani mwake .Tattoo hiyo aliyoonekana akiiweka begani mwake ilikuwa ni tattoo yenye neno laki Arabu la "ALLAH".Alifungiwa kupiga matamasha nchini huko…

Added by G5 NEWS on February 29, 2012 at 9:00am — No Comments

Msanii wakike kutoka kundi la G-unit Precious Paris kuachia karibuni Mixtape yake mpya
Msanii wa k*** kutoka kundi la G-unit,mwanadada Precious Paris hivi karibuni katangaza ataachia mixtape yake mpya iitwayo "FROM PARIS WITH LOVE".Mixtape hiyo itakuwa nyimbo kadhaa ambazo amewashirikisha vichwa kadhaa kama 50cent ,msanii kutoka kundi la FELLOW RIDA GANG "Kidd…

Added by G5 NEWS on February 28, 2012 at 10:00am — No Comments

K sher akielezea kwanini ameamua kumshirikisha Diamond Platnumz kwenye nyimbo yake mpya (VIDEO)

Added by G5 NEWS on February 25, 2012 at 11:29am — 1 Comment

Jay Z amtambulisha msanii mpya kwenye lebo yake ya Roc Nation
Jay Z,mmiliki wa lebo ya Roc Nation aliibuka kwenye kituo cha radio cha New York.Kwenye interview yake ndipo akamtambulisha kichwa kipya kwenye lebo yake binti wa miaka 21 anayeitwa kwa jina la Rita Ora.Wakaachia nyimbo yake mpya ya msanii huyo mpya wa Roc Nation Rita Ora inayoitwa Party and B*******
"Sasa…


Shilole aifungukia stori yake ya kubakwa
Na Erick Evarist
MSANII wa filamu Bongo ambaye pia anafanya freshi kwenye muziki wa mduara, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ (pichani) amefunguka kuwa katika maisha yake ya kimapenzi hatasahau siku aliyobakwa na mwanaume ambaye kwa sasa hawezi kumuweka wazi.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni,…

Added by G5 NEWS on February 10, 2012 at 3:00pm — 2 Comments

Nicki Minaj kutangaza album yake mpya iitwayo PINK FRIDAY : ROMAN RELOADED na tarehe itayoingia sokoni
Added by G5 NEWS on November 24, 2011 at 12:30pm — No Comments

IJUMAA Newspaper REPORTS: G5 CLICK KUBORESHA MAISHA YA WASANII

IJUMAA Newspaper REPORTS:- Kile kilio cha muda mrefu cha wasanii kulalamikia kulizwa na mdosi katika usambazaji wa kazi zao kinaelekea kutatuliwa, na watatuzi si wengine bali ni vijana wadogo ambao ndiyo wakurugenzi wa site ya wajanja ya G5 Click. Blogu hiyo ambayo ni namba moja nchini kuanzia layout, ripoti za muziki wa kiwanja na ndani ya nchi, wametangaza kuwa hivi sasa wanajipanga ili waweze kusambaza…

Added by WE ARE G5 on May 22, 2010 at 5:30pm — No Comments
2013
2012
2011
2010
2009
2008
1999
1970
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
