FREE FLAVA

Like us on Facebook..!

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

Top 5 Videos this Week

DIAMOND NA WEMA SEPETU NDANI YA MOVIE MOJA

Nassib Abdual alias Diamond Platnumz ambaye ni msanii anayetamba kwa sasa kwa show zake kali ndani ya kiwanda cha Bongo Flavour. Msanii huyu kwa mara kwanza ataanza kuonekana katika movie za kibongo. Katika movie hiyo ambayo inakwenda kwa jina la “Cross of Love” utapata kumuona Diamond akiwa na mwanadada Wema Sepetu ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani.

Latest Infoz kutoka kwa Platnumz ni kuwa zimebaki scene kama 15 waweze kumaliza movie hiyo ambayo imeandikwa na kuwa directed by Seles Mapunda. Katika movie hiyo pia utapata nafasi ya kumuona swahiba wa Diamond, Ommy Dimpoz. Hivyo mashaniki wa Diamond mkae tayari kumpokea katika upande huu wa pili wa filamu kama atatusua na huku.

SOURCE : BABKUBWA MAGAZINE WEBSITE

Views: 4602

Tags: DIAMOND, MOJA, MOVIE, NA, NDANI, SEPETU, WEMA, YA

Comment

You need to be a member of G5 world to add comments!

Join G5 world

Comment by PAULO URIOH on November 4, 2012 at 12:59am

yote heri kaka ilimrdi upendo,aman na utulivu ndan yenu upo hapo ni sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

#ContentAdverts{ width:488px; float:center; margin-right:15px; }