Added by kanamasi on March 29, 2013
Added by kanamasi on March 29, 2013
Added by deejay dullah on November 16, 2011
Habari zilizotufikia hivi sasa zinasema msanii maarufu nchini, Steven Kanumba amefariki dunia ghafla baada ya kudondoka na kujingonga sehemu ya kisogo akiwa nyumbani kwake Vatican, Sinza jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea majira ya saa 7 usiku wa kuamkia leo na taarifa za kudondoka kwa Kanumba zilitolewa na kijana anayeishi nae hapo nyumbani ajulikanaye kwa jina la Seti aliyemwita daktari kujaribu kuokoa maisha yake lakini alipofikishwa hospitali ya Muhimbili tayari alikuwa amekata roho. Kwa sasa mwili wa marehemu umeifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Taifa Muhimbili. Habari zaidi zitawajia baadae.
Comment
Comment by online here on May 6, 2013 at 9:31pm
Comment by ROSE TARIMO on April 10, 2012 at 11:49am poleni wafiwa wote tuliobaki duniani tumuombee kwa mungu ampokee kwa amani.
Comment by Jay on April 7, 2012 at 11:07pm Did he just fell all by himself? and how? sounds like consiparcy s***!
Comment by Nashir Ramadhani karata on April 7, 2012 at 5:06pm Mungu amsamehe madhambi yake na amuweke mahala pema peponi
kanumba was a good actor and of his own ways to be followed by other actor who are in the move.
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

You need to be a member of G5 world to add comments!
Join G5 world