FREE FLAVA

Like us on Facebook..!

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

Top 5 Videos this Week

MSANII MAARUFU NCHINI KENYA JAGUAR AWASILI TANZANIA,TAYARI KWA KUANGUSHA BONGE LA SHOO KWENYE TAMASHA LA BODA KWA BODA BEACH CONCERT .....

Mwanamuziki mahiri nchini Kenya ajulikanae kwa jina la JAGUAR,awasili nchini Tanzania tayari kwa kuangusha bonge la shoo kwenye tamasha la BODA KWA BODA BEACH CONCERT.

Kuzungumzia na uthibitisho wa ujio wa Mwanamuziki huyo Dar,Meneja wa Masoko wa kampuni ya G5 CLICK COMPANY,Desy Ernest amesema kuwa,Mwanamuziki Jaguar kutoka nchini Kenya anatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha la BODA KWA BODA BEACH CONCERT litalojiri pande za Mbalamwezi Beach,Mikocheni jijini Dar Es Salaam mnamo November 12 (LEO) majira ya saa moja jioni.Akisindikizwa jukwani na wasanii wakibongo wakiwemo Sumalee,GodZilla,Country Boy & Stamina,Young D,Beka na wengineo wengi tu

Desy Ernest amesema kuwa mpaka sasa mambo yanakwenda sawa bin sawia,na kwamba shamra shamra za BODA KWA BODA BEACH CONCERT zitakuwa tofauti na wenye msisimko mkubwa, ambalo ni kubwa katika anga ya burudani ndani ya Tanzania.

Jaguar awasii mashabiki wake kujitokeza kwa wingi ilikukamilisha mpango mzima  wa BODA KWA BODA BEACH CONCERT.

 

Views: 281

Tags: BEACH, BODA, CONCERT, JAGUAR, KWA, Kenya, Msanii, Tanzania, awasili, kutumbuiza, More…kwa, maarufu, nchini, tayari

Comment

You need to be a member of G5 world to add comments!

Join G5 world

Comment by jack nyenza ligimilo on November 17, 2011 at 4:21pm
ombeni umeuza vibaya mno
Comment by Edmund Kisombe on November 14, 2011 at 8:49am

KWELI,MAN KAKAMATA SAWA KABISA..BIG UP

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

#ContentAdverts{ width:488px; float:center; margin-right:15px; }