FREE FLAVA

Latest Activity

Like us on Facebook..!

FIND G5 ON

ADVERTISEMENT

Top 3 Photos Today

2. women seeking for men in mumbai

Added by Koku Tibaimuka on October 21, 2013

3. IMG_20150915_155601

Added by Benni Ashuza Vs Bab-G Ally on September 16, 2015

Top 5 Videos this Week

UZINDUZI WA TUZO ZA 'KILIMANJARO MUSIC AWARDS' 2013

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Mr George Kavishe akifafanua jambo katika hafla ya uzinduzi wa Tuzo hizo ambazo zimezinduliwa rasmi sambamba na kusaini mkataba mpya wa kudhamini Tuzo hizo kwa kipindi cha miaka 5 tena.
Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA Mr David Mwingereza akifurahia baada ya shughuli ya kusaini mkataba huo.
Shughuli hiyo iliambatana na uzinduzi wa logo mpya itakayotumika mwaka huu katika Tuzo hizo.
George Kavishe akifafanua jambo
Aliyewahi kuwa Miss Tanzania Angela Damas
Chid Benz naye alikuwepo katika hafla hiyo.
Mchakato wa kuwapata wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka mzima umeanza jana rasmi na utamalizika tarehe 8 Juni ambapo kutafanyika hafla maalum ya kuwatangaza washindi hao.Bia ya Kilimanjaro itaendelea kudhamini Tuzo hizo hadi mkataba huo utakapokwisha mwaka 2018.

Views: 223

Tags: 'KILIMANJARO, 2013, AWARDS', MUSIC, TUZO, UZINDUZI, WA, ZA

Comment

You need to be a member of G5 world to add comments!

Join G5 world

© 2015   Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

#ContentAdverts{ width:488px; float:center; margin-right:15px; }