wale wote waliokua against nawe achana nawo kwani umeonesha mfano mzuri kwa watakao join tena maisha plus ya mwakani ujasiri wako ndo utakao kupa ushindi. waelewe kua si kiburi na kujiona eti umesoma wakafikiri ndo mambo yote walisahau kuwa hapo kilichokuwa kinahitajika ni uvumilivu na stahamala ya kutosha pamoja na ukakamavu wa kuishi na wenzako kwa moyo mmja kwa aina yoyote ile kwa shida na raha yote umeyatimiza na kusamehe wale walokutenda kwa moyo mmoja so wewe ndo kiboko yao hapo kijijini maana naamini wanaoishi kijijini wengi wao elimu kwao ni mwisho, sisemi kuwa nawadharau kuwa hawana elimu ah ah no hapa tunaangalia hasa maisha ya kijijini. Chukua milion zako kumi unstahiki bila ya wasiwasi. hongera sanaaaaaaaaaaaaaa all the best.
ABDUL KURA NI YAKO TU M 10 CHUKUA KIULAINI, KESHO TUPO TUNAKUNGOJA TUSHEREHEKEE USHINDI WETU, MUNGU AKUJAALIE NA AFYA NJEMA PAMOJA NA WOTE ILI TUWEZE KUFURAHIKA PAMOJA ITABIDI TUANDAE PARTY YA KUMPONGEZA MSHINDI WA MAISHA PLUS HATA KAMA UTAENDA HUKO ZENJI TUTAKUFUATA ILI TUSHEREHEKEE SIKU YA KUTAJWA USHINDI WAKO, U ROCK GUY.
Abdulhalim anafaa hasa kuwa mshindi na anastahili kupongezwa na kila mtu kwa sababu ni mvumilivu na hana majungu pia ni mwerevu na asie na hasira wala chuki na ndio maana alimsamehe Upendo ingawaje alimtendea kitu mbaya. nakutakia kila la kheri Abdul tunakusubiri kwa shanwe Zenji.
Abduli anafaa kabisa,kwani amechangamka na hana ujinga wala u ndumi la kuwili,yupo stright forward,ana jokes na ana mambo yake mwenyewe,mi kuna ile siku kanifurahisha sana wakati ana v mchoma samaki KAA yule,aah aliniua,manake yupo busy utafikiria hakuna kamera man anaemfuatilia,jamani mpeni 10m ml yake tudumishe muungano wetu.
hi Abdul, ten million za kwako best uko juu kadri siku zinavyokaribia 26th April, 09. Ndevu atanyoa akiingia mjini kule hakubeba vifaa alijua ni kijijini kama kwamba kwamba atakwenda saloon za chini ya mnazi hivyo msameheni bure maana alivyoingia kijijini hakuwa na ndevu ila mazingira ndio yamemfanya awe na ndevu ndefu but i hope anaziweka kwenye mazingira ya usafi.
Abdulhalim, apewe hizo 10Mln. Jamaa anatufaa na atakuwa mwakilishi mzuri wa sanaa hii, ila mpeni elimu zaidi baada ya ushindi huo na apewe shughuli yoyo kwenye iyo kampuni kwani mko wachache sana.
tafadhali waandaaji wa shindano la maisha plus siku za kutangazwa mshindi waambieni wagombeaji wote wa milioni kumi wawe smart abdul ashave na upendo avae nguo ya kutizamika, charle kama kawaida na steve asuke bomba me nahisi mngeliwapelekea mtu wa kuwaweka waonekane smart interms of hair style face n.k ili watoke bomba wajue kua wanatoka kijijini wanarudi tena mjini.
Welcome to
G5 world
Sign Up (free)
or Sign In
Or sign in with:
Latest Activity
Birthdays
Birthdays Today
Acne And Makeup Brushes Give a Gift
ahmad hamis Give a Gift
Ainea Alfred Give a Gift
Allan Barksdale Give a Gift
Alphonce Enrique Give a Gift
Amos Deyoung Give a Gift
Apocalypse Comics All Hail Megat Give a Gift
Ayesh Ahmed Give a Gift
B\u0026q Satellite Dish Kit Give a Gift
Benito Kenyon Give a Gift
Like us on Facebook..!
NOTES
Watch: The Most Clever Anti-AIDS Campaign Ever Created
Mom, I Have A Secret - I'll whisper it in your ear
why most of our leaders are seriously sick?
IS IT AMAIZING OR FUNY
je haya ni ya kweli
FIND G5 ON
ADVERTISEMENT
Top 3 Photos Today
1. play
Added by fghd dfgh on March 30, 2013
Top 5 Videos this Week
1. Nonini ft Christine Apondi-Colour Kwa Face (Official Video)
Added by deejay dullah on November 16, 2011
2. Lil Wayne Featured In Mountain Dew Commercial
Added by G5 NEWS on October 21, 2012
3. Wiz Khalifa- STU
Added by G5 NEWS on October 21, 2012
Abdulhalim's Comments
Comment Wall (130 comments)
You need to be a member of G5 world to add comments!
Join G5 world
...~^+abdul+^~...
...~^+abdul+^~...
...~^+abdul+^~...
..$..$..£..£..€..€..¥..¥..
**10,000,000**
...~^+abdul+^~...
...~^+abdul+^~...
...~^+abdul+^~...
..$..$..£..£..€..€..¥..¥..
**10,000,000**
Eric Arusha