hi dully sio siri m2 wangu tunakufagilia ile mbaya tutakusupport kwa sana hizo million kumi uchukue unatisha hakuna anaekufikia maisha plus nzima ww ndio namba moja na mbili mshkaji wako chaz.
Abdul, una-deserve kupata hiyo M10. Uko juu nakwambia. Sema tu Jay D amewahi sana kutoa single yake ya upo Juu kabla wewe hujawa Juu, sivyo na wewe lazima ungerushwa na Jay D... Uko juuu...... Abdul foo ze mane.... Abdul for m10!
haya haya milioni kumi ni zako tu usikubali upendo kukunywa akili huyo ni mnyonyaji nguvu za watu, mtu wangu kaa ukijua hakuna mpinzani juu yako endelea kutuburudisha kama kazi.
mabo mtu wangu? pole kwa yaliyokukuta ingawa umejaribu kuwaonyesha watu how real u r for being patient imekufanya kila mtu amezidi kukupenda chukua milion kumi hizo za kwako tu (chukua chapaa ukalie urojo) he he he heeeeeeeeeeeeee nacheka kimaisha plus.....
Abdul nakupa hongera sana kwa uvumilivu ustah-milivu na ujasiri, wewe bwana ni mwisho hapo maisha plus, achana na longolongo za madem hao washakuona ni mshindi ndo mana wanakuwangia!!!! USHINDI NI WAKO!!! MUNGU ATAKUJAALIA
hellow abdul,najuwa hunijuwi ila mm nafatilia sana maisha plus jinsi unavyo tikisa wenzako mungu akujaalie kila la heri katika kutafuta maisha mm ni mtanzania mwenzio but kwa sasa niko out of the country best wishes
Welcome to
G5 world
Sign Up (free)
or Sign In
Or sign in with:
Latest Activity
Birthdays
Birthdays Today
aamiyah Give a Gift
albert Give a Gift
Albert 阿伯特 Frank Give a Gift
amp bless Give a Gift
Anderson K. Ruri Give a Gift
andi Give a Gift
anjie muntan Give a Gift
Arul Selvan Give a Gift
Ashraf Give a Gift
Back Pain Nerve Damage Symptoms Give a Gift
Like us on Facebook..!
NOTES
Watch: The Most Clever Anti-AIDS Campaign Ever Created
Mom, I Have A Secret - I'll whisper it in your ear
why most of our leaders are seriously sick?
IS IT AMAIZING OR FUNY
je haya ni ya kweli
FIND G5 ON
ADVERTISEMENT
Top 3 Photos Today
1. shilah
Added by jack nyenza ligimilo on May 26, 2013
2. me
Added by ancilar on August 15, 2012
3. DSC00512
Added by Benni ally baby-g on May 16, 2013
Top 5 Videos this Week
1. Besta - For ma Baby
Added by nelson on June 3, 2011
2. SHAKIRA - K.V.C ft. DULLAYO & ALI KIBA
Added by Makavu Live on April 1, 2010
3. ZE COMEDY - MKASA WA BOSI
Added by DJ CHOKA on May 13, 2009
Abdulhalim's Comments
Comment Wall (130 comments)
You need to be a member of G5 world to add comments!
Join G5 world
asante sana
hongera kwa kuchapa mwendo siku zimebaki chache kaza buti
endelea na busara zako Mungu yupo pamoja nawe.
Big Up